Social Items

PropellerAds

Mitandao ya kijamii

MITANDAO YA KIJAMII
Mitandao ya kijamii. ..... ipo mitandao mbalimbali ya kijamii kama  Facebook . Instalgram.  LinkedIn . Badoo.  N.k
Wenu wetu tunatumia mitandao ya kijamii kwa njia moja au nyingine . Wapo ambao wamebobea katika mambo mbalimbali katika mitandao hiyo

Nikuulize kama kijana mitandao hii ya kijamii inakusaidia nn katika maisha yako ..?

Lazima uwe na muda wa kutadhimini n kiasi gani unafaidika na mitandao hii ya kijamii. Usiitumie tu kwa vile unawez kutumia jiulize na ujipime

Vijana walio wengi mitandao hii wanitumia kwa ajili ya kupiga picha na kubadili pozi kila kulicha wengi tena picha mbaya za utupu wao kabisa.

Wengine hutumia kutazama picha za warembo waliko katika utupu.  Au kusikiliza miziki . Wengine kutazama fulani leo atakuwa n skendo gani. Kumfuatilia super star fulani. Kutafuta wapenz au wake kwa waume .Kutafuta umbea na vitu kama hivyo.  Hii n mfano mchache tu ya matumizi haya

Kila mmoja anapoweka fedha katika simu yake ili kupata nafasi ya kupakua na kusoma mambo mbalimbali katika mitandao hii ya kijamii. 

Leo NIKUUKIZE JE KUNA FAIDA KAZI UNAIPATA KAMA KIJANA KWA KUTUMIA MTANDAO YA KIJAMII

mitandao ya kijamii n hazina kubwa sana hapa unaweza kuwa milionea mkubwa sana unaweza kuwa mtu fulani wa dhamani sana na pia unaweza kuwa kituko cha kutisha katika jamii

Itakunufaisha tu ukijua n jinsi gani unatakiwa kuitumia . Njia amabyo utatumia vyema na kwa jinis gani utumie ikunufaishe . Jifunze basi usiwe na haja ya kusubiria kuambiwa tu jifunze leo

Ni wapi inapotumia mitandao ya kijamii kujinufaisha. ? N lazima ujue sehemu ambayo itakuwa na faida kwako na sio wewe uwe unaweka fedha tu unapoteza muda wako na bado hakuna unafaidika nalo.

Kwa ufupi kabisa kama wewe n mfanyibiashara tumia vizuri mitandao hii ili upate faida na baishara yako ikue.
Kama wewe n mwalimu au m wanfunz tumia vizur ili upate faida

Tangaza kazi zako  tangazo lako linaweza kuwafikia watu wengi sana kama utajua vyema jinis ya kutumia mitandao ya kijamii.  Wengi wetu tunaona watu WALIOFANIKIWA tukafikiria vibaya labda wana jambo fulani baya lakin ukweli n kuwa hakuna kitu kinafanya kazi na kusambaza taarifa kwa haraka kama mitandao ya kijamii. 

Social capital n ya muhimu sana katika maisha yako kama tu unataka kufanikiwa sana . Mimi nimefanikiwa kufanya baishara zangu hasa na network marketing kwa sbabu nilijua vyema jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii . 
Pia kuza dhaman yako ndani ya jamii yako kwa urahisi sana kupitia katika mitandao ya kijamii na hapo utaona umuhimu wa kutumia badala ya kuwa shimo la kula ru fedha zako iwe net sehemu ya kukuzalishia fedha zaid

Kwa leo nakusihi kama kijana chunguza faida ya mitandao ya kijamii kwa maisha yako na uchukue hatua  ya kujifunza . Acha kusoma anza kujaribu na utafanikiwa tu
Uwe na wakti mwema

No comments