Social Items

PropellerAds
Upendo hupandwa kama mbegu, kwa kiasi kile kile unachopanda ndicho utakachokivuna. Upendo unapandwa kwa matendo. Kama huwezi kutenda matendo ya upendo kwa mwingine usitarajie kupokea matendo hayo kwako. 

Kujali, kuwa tayari, kushauri, kupooza palipo na maumivu, kuponya majeraha, kushauri, kujitoa, kuvumilia, kusamehe, kufadhili na mengine mengi unayofahamu wewe, ni miongoni mwa matendo ya upendo. 
Sio rahisi sana kuushika upendo mkononi lakini ni rahisi sana kuonyesha matendo ya upendo wazi wazi.  Matendo haya huonyeshwa wazi kwa ndugu, jamaa, rafiki , mtoto, kumbwa, dogo, mke , mume, na hata watu waliokuzunguka.
Usiuangalie upendo kwa namna ya mapenzi tu angalia kwa ujumla wake na ujue kabisa uwa ni jukumu lako kuuonyesha kwa wengine ili na wao warudishe kwako. 

Acha kusubiria utendewe wewe tu tenda na kwa wenzako pia. Kwani huwezi vuna upendo ulipopanda maumivu, chuki, hasira, majuto, malalamiko, na majeraha kwa yoyote. Kile ulichopanda kwa wingi ndio utakacho kivuna kwa wingi. Si unafahamu kuwa shamba la maembe tunavuna maembe hatuwezi vuna papai kama halijapandwa humo? Si unajua kuwa huwezi kwenda BENKI kutoa fedha amabazo hujaweka ?  

Basi upendo uko hivyo hivyo upandancho ndicho unachovuna .
 Jitahidi kupanda mazuri uvune yaliyomema kila siku. Panda kwa wingi upendo utavuna kwa wingi san na maisha yatakuwa ya furaha sana. kumbuka UPENDO UNAGUVU SANA KULIKO CHOCHOTE DUNIANI 

Upendo

2 comments:

  1. Ni kwel kabsa huwezi kuvuna ambacho haujakipandađź‘Źđź‘Ź

    ReplyDelete
  2. nimejifunza na kugundua kwa nini wewe unaupendo na watu wote haijalishi kuwa unamfahamu ama haumfahamu. asnate nimepata jambo nitapanda kwa wingi nivune kwa wingi .

    ReplyDelete