Social Items

PropellerAds

SABABU ZA MWANAMKE KUSIKIA MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA/KUKOSA HAMU YA KUFANYA MAPENZI /KUTOKUFIKA KILELENI 


SABABU ZA MWANAMKE KUSIKIA MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA/KUKOSA HAMU YA KUFANYA MAPENZI /KUTOKUFIKA KILELENI 

Habari za leo ndugu msomaji wangu, ni matumaini yangu unaendelea vizuri na kufurahia uwepo wa hii page kutokana na maswali niliyoyapata kutoka kwenu wasomaji nimeona ni vizuri nikalizungumzia hili swala hapa ili elimu hii iwafikie wengine, Mada yetu inasomeka hapo juu kwamba sababu za mwanamke kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa au kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa kwa ufupi tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa linawatokea Zaidi wanawake pasipo wao kutambua tatizo karibu asilmia 30%_45%ya wanawake wote wana matatizo haya huwa wanafanya tu tendo la ndoa kuwaridhisha waume zao na wao kutokufurahia tendo hili la kipekee hivyo huwa na tatizo hili ambapo kwa kitaalamu tunaita (LOW LIBIDO IN WOMEN) 

LOW LIBIDO NI NINI? ~ni hali ya ukosefu wa hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa wanawake na wanaume pia 

~tatizo hili hutokana na sababu tofauti mfano uwiano mbaya wa homoni nk 

~wanawake wengi wanasumbuliwa na tatizo hili pamoja na tatizo la kutofika Kileleni hata hvyo Mara nyingi ugonjwa huu husababishwa na mambo makuu mawili ambayo ni matatizo ya kimwili na matatizo ya kisaikolojia 

 

👉MATATIZO YA KIMWILI 

~Kuna magonjwa mengi yanayosababisha tatizo hili mfano UGONJWA WA ANEMIA (UPUNGUFU WA SELI HAI NYEKUNDU ZA DAMU) hii ndio chanzo KIKUU cha tatizo hili kwasababu huambatana na upungufu wa madini ya chuma (iron) ambayo ndio hufanya kazi ya kuusisimua mwili na kuongeza hamu ya tendo la ndoa hii hutokana na Mara nyingi wanawake wanapokua katika hedhi huwa wanapoteza kiwango kikubwa cha madini ya iron ambayo hutolewa mwilin kupitia damu hvyo kuchangia kwa kias kikubwa kupoteza hamu ya kufanya tendo la ndoa pia madawa ya kulevya ni chanzo cha tatizo hili 

~mwanamke anayekunywa pombe na kutumia madawa ya kulevya huwa anaondoa hamu ya kufanya tendo la ndoa pia mabadiliko ya mfumo wa homoni mwilini huchangia tatizo hili kwasababu mwanamke anapokua katika Hali ya kawaida uzalishaji wa homoni katika mwili wake huwa wa kawaida ila atakapokua ananyonyesha au mjamzito mwili huzalisha LUTEINSING HORMONE(HL)

👉matumizi ya madawa muda mrefu, kuna baadhi ya dawa zikitumika muda mrefu huondoa kabisa hamu ya kufanya tendo la ndoa 

 

👉 MATATIZO YA KISAIKOLOJIA 

Matatizo haya hutokana na mazingira halisi tunayoishi na matukio mbalimbali ni ÷

👉kuwa na wasiwasi na uoga kwa mpenzi wako 

👉kunyanyaswa kijinsia au kuwa na historia ya kubakwa 

👉kuwa na msongo wa mawazo 

👉kuishi katika mazingira magumu 

👉mabadiliko katika mfumo wa homoni 

👉kupungua kwa estrogen katika kipindi cha kuelekea ukomo wa hedhi (menopause) Kunaweza kusababisha ukosefu wa hamu ya kufanya mapenzi kwasababu upungufu wa homoni hii husababisha uyabisi katika sehemu za siri hivyo kusababisha maumivu makali wakati wa tendo la ndoa 

 

UTAJIGUNDUAJE KAMA UNA TATIZO HILI?

👉hautokua na uwezo wa kumuanza mpenzi wako kuhitaji huduma ya tendo la ndoa yan ww unasubr uanzwe ndio uwajibike hii yote ni kwamba hauna hamu na hufurahii tendo la ndoa 

👉ukiwa unafanya mapenzi unasikia maumivu badala ya raha 

👉hupati MSISIMKO wala mhemko hata kidogo ukichezewa na mpenzi wako sehemu nyeti kabisa 

👉hufiki Kileleni na pia unafanya tu mapenzi kwa ajili ya kumridhisha mwanaume wako ilhal ww unapata maumivu na hauhisi chochote kile yani hufurahii 

👉Huna uwezo wa kurudia tendo Zaid ya Mara moja tu ww umetosheka 

UNAZO HIZO DALILI HAPO JUU 👆👆??????? POLE SANA 

 

~JINSI YA KUJIKINGA NA MATIBABU YAKE 

Matibabu yake hospital ni magumu kwani hakuna dawa maalumu na Zaidi hufanyika kupitia vipimo vya uchunguzi, historia ya mhusika pamoja na Dalili za magonjwa mbalimbali, pamoja na hayo tatizo hili unaweza kulidhibiti kwa kufanya yafuatayo 

👉EPUKA KUVUTA SIGARA NA KUNYWA POMBE KUPITA KIAS 

👉ZINGATIA ULAJI ULIOSAHIHI AMBAO UNAHUSISHA ULAJI WA MATUNDA KWA WINGI NA MBOGA ZA MAJANI 

👉ONDOA MAWAZO NA HUZUNI

👉BADILISHA MFUMO WA MAISHA YAKO 

👉ONGEZA MSISIMKO KATIKA MAHUSIANO YAKO 

👉WEKA MAZINGIRA MAZURI NA MUDA WA KUFANYA TENDO LA NDOA 

👉FANYA MAZOEZI MARA KWA MARA 

~JE, UNAJUA SIRI ILIYOJIFICHA KATIKA MAHARAGE YA SOYA??? 

maharage ya soya ni miongon mwa vyakula maarufu nchini kwetu 

~nchini China zao Hili limekua sehem ya mlo kamili kwa wananchi wake kwasababu soy Ina faida nyingi sana kutokana na kuwa na kiwango kikubwa cha protini, pia soy Ina kiwango kidogo cha fati na pia Zina HYTOESTROGENS ambayo husaidia sana wanawake waliofikia menopause kutengeneza homoni za estrogen ya Ziada pia husaidia uke kuwa laini (wet, lubricated) Mbali na hayo pia soy Ina vitamin vingi A, B complex C, D, E, F, G, H&K pia soy Ina glycerin na faty acid ambayo husaidia ufanyaji kazi wa ubongo na maini pia huondoa Ugumba na tatzo la mimba kuharibika kila wakati 

NOTED :NDUGU MSOMAJI KAMA UNA TATIZO HILI WASILIANA NAMI 0652 331126 KUPATA DAWA ILIYOTENGENEZWA KWA KUTUMIA MAHARAGE YA SOYA NI SULUHISHO LA TATIZO HILI NA HUONDOA UGUMBA 

Asante kwa kuwa Nami muda wote kupata elimu hii hivyo kama UNA USHAURI /MAONI YAKO

0652 33 11 26

PIA NAOMBA SHARE NA MARAFIKI ZAKO ILI WAPATE ELIMU HII 

PLZ USISAHAU KUSHARE, KUKOMENT, KULIKE NA KUWAALIKA WENZAKO KATIKA PAGE HII

3 comments:

 1. Cool
  Be blessed najifunza mengi mno kupitia web yako

  ReplyDelete
  Replies
  1. Thanks dear naendelea kushiba idear nyingi za kimaisha. Mungu akubarki umegusa sehem ambayo wanawake wengi ulia sana

   Delete
  2. Asante karibu sana tuendelee kujifunza maan elimu haina mwisho n hatuwezi jua kila kitu Bali kupitia sehemu kama hizi tunapata maarifa mapya. Karibuni sana

   Delete