Social Items

PropellerAds
Upendo hupandwa kama mbegu, kwa kiasi kile kile unachopanda ndicho utakachokivuna. Upendo unapandwa kwa matendo. Kama huwezi kutenda matendo ya upendo kwa mwingine usitarajie kupokea matendo hayo kwako. 

Kujali, kuwa tayari, kushauri, kupooza palipo na maumivu, kuponya majeraha, kushauri, kujitoa, kuvumilia, kusamehe, kufadhili na mengine mengi unayofahamu wewe, ni miongoni mwa matendo ya upendo. 
Sio rahisi sana kuushika upendo mkononi lakini ni rahisi sana kuonyesha matendo ya upendo wazi wazi.  Matendo haya huonyeshwa wazi kwa ndugu, jamaa, rafiki , mtoto, kumbwa, dogo, mke , mume, na hata watu waliokuzunguka.
Usiuangalie upendo kwa namna ya mapenzi tu angalia kwa ujumla wake na ujue kabisa uwa ni jukumu lako kuuonyesha kwa wengine ili na wao warudishe kwako. 

Acha kusubiria utendewe wewe tu tenda na kwa wenzako pia. Kwani huwezi vuna upendo ulipopanda maumivu, chuki, hasira, majuto, malalamiko, na majeraha kwa yoyote. Kile ulichopanda kwa wingi ndio utakacho kivuna kwa wingi. Si unafahamu kuwa shamba la maembe tunavuna maembe hatuwezi vuna papai kama halijapandwa humo? Si unajua kuwa huwezi kwenda BENKI kutoa fedha amabazo hujaweka ?  

Basi upendo uko hivyo hivyo upandancho ndicho unachovuna .
 Jitahidi kupanda mazuri uvune yaliyomema kila siku. Panda kwa wingi upendo utavuna kwa wingi san na maisha yatakuwa ya furaha sana. kumbuka UPENDO UNAGUVU SANA KULIKO CHOCHOTE DUNIANI 


Upendo

AKSANTE NA SAMAHANI. 
Haya ni maneno mawili ya muhimu sana katika mahusiano ya kimapenzi uwe umeolewa au bado, kama uko na huyo mpenzi wako amekuoa au bado au anatarajia kukuoa huna jinsi ya kukwepa maneno haya.

Samahani haikupunguziii chochote pale unapokuwa umekosea ua kwa wakati mwingine mwenzako ni mgumu kushuka na kusema samahani sema kwa ajili yake ili kumfanya ajue kuwa umeona kosa na hivyo hakuna haja ya kulumbana zaidi. 

Ssmahani itakupunguzia shari na kukuongeze upendo kati yenu wawili. Lakini pia samahani inakufanya uonekane kwamba UNAJALI  na unakiri kuwa lile haukufanya kwa makusudi. 

Kwa upande wa aksante, shukuru kwa lolote upatalo kutoka kwa mwenzako hata kama ulikuwa unategemea kubwa akakupa dogo basi shukuru hata kwa hilo maan ndio uwezo wake. 

Shukrani zako zitamfanya afanye kubwa zaidi. Mshukuru hata MUNGU  kwa wewe kuwa na huyo maan wengine wanatamani kumpata lakini hawampati.

Shukrani zitoke pande zote mbili. kwa hakika neno AKSANTE na SAMAHANI lisipungue kinywani mwako. Utayafurahia mahusiano yako na utakuwa wa thamani mbele yake kila iitwapo leo. Kwa leo ni hayo tu twende tuboreshe mahusianao yetu. Karibu sana sana tuendelee kujenga mahusiano yetu vizuri

Samahani na asante

KISA CHA BINTI NA MCHUMBA WAKE MFANYAKAZI WA BENKI!

Hiki kisa kimenifunza kitu ... Kutoka kwa Iddy
Binti mmoja ambaye alikuwa na mgahawa pembeni jirani kidogo na ninapoishi mara nyingi alikua na kawaida ya kuondoka katika magahawa wake na kwenda kusimamia ujenzi wa nyumba ya mpenzi wake wa muda mrefu kidogo. Walikaa kwenye uhusiano kwa karibu miaka mitano tangu binti anasoma chuo.

Baada ya binti kumaliza chuo Baba yake alimfungulia biashara ya mgahawa kwani hakutaka kuajiriwa. Mpenzi wake huyo alikuwa ni mfanyakazi wa benki flani na mambo yake yalikuwa safi, mbali na kumiliki usafiri mzuri ambao mara kadhaa nilimuona akiutumia yule binti lakini pia alikuwa na duka kubwa la nguo mjini na alikuwa akijenga.

Binti alikuwa haambiliki hasikiki, kwani jamaa alikuwa akimjali sana na ingawa hawakuwa wakiongelea sana kuhusu kuoana, jamaa kutokana na ubize wake mambo yake mengi alisimamia yule binti. Kuanzia bishara ya nguo mpaka ujenzi wa nyumba yake, binti  ingwa alikuwa hauzi lakini aliwasimamia wafanyakazi kuhakikisha wanahudumia wateja vizuri na kubwa kabisa hawamuibii mpenzi wake.

Katika ujenzi binti alikuwa akisimamia kila kitu kuanza nyumba ilipokuwa katika msingi mpaka ilipokamilika, kwani kutokana na kazi yake jamaa alikuwa bize sana. Kwakifupi binti alichukua majukumu ya mke wa yule kaka ingawa hawakuwa wakiishi pamoja.

Lakini ghafla walihitilafiana kidogo, baada ya binti kuona meseji katika simu ya jamaa ambazo hakuzielewa elewa alikasirika na kumnunia jamaa kwa wiki moja hivi, ulikuwa ni ugomvi mdogo tena wa kawaida kabisa, mwanamke alikuwa na haki ya kukasirika na alitakiwa uombwa msamaha lakini jamaa hakufanya hivyo.

Wakati binti akisubiri kuombwa msamaha, jamaa alikuja kuchukua gari lake ambalo binti ndiyo alikuwa akilitumia mara kwa mara, akadai funguo zake na binti alipojishusha kuuliza nini mbona inakuwa hivyo wakati kitu kidogo tu wamegombana, jamaa alimuambia hawezi kuishi na mwanamke wa aina ile ambaye anamnyima uhuru!

Binti alichanganyikiwa kwani katika uhusiano wa takribani miaka mitano hakuwahi kuchunguza simu ya jamaa na hata hiyo meseji aliiona tu wakati akitaka kutumia simu ya mpenzi wake kumpigia mtu mwingine na kwakuwa walikua na huru katika kutumia simu zao hakuona ishu sana.

Binti alijitahidi kuomba msamaha kana kwamba yeye ndiyo alikuwa amekosa lakini alishachelewa, kufika kwa jamaa tayari alikuwa anaishi nja mwanamke mwingine na miezi mitatu baadaye mipango ya harusi ilishaanza. Jamaa alioa na kumuacha binti akiwa haamini macho yake.

Biashara yake ilikua imesimama, alishindwa hata kuiendesha vizuri kwakua alikuwa bize akipalilia maliza mchumba, baada ya kuachwa ndiyo ikafa kabisa kwani msongo wa mawazo wa kuachwa na maisha ya kutembea kwa mguu baada ya kupoteza kila kitu kujenga maisha ya mwingine, maringo yote kwa rafiki zake, mipango yote aliyokuwa amekwishajiwekea ilififia ndani ya wiki moja.

Kwakifupi maisha ya kimapenzi aliyokuwa ameyajenga ndani ya miaka mitano yalivunjwa ndani ya wiki moja. Wanawake wengi wapo hivi wanapopenda husahau kabisa maisha yao binafsi na kuishi maisha ya wapenzi wao na wengi wao huumia wakijakugundua kua kumbe hawakua pake yako.

Katika maisha unapaswa kujua kua kama hajakuweka ndani basi huyo si wakwako na maisha yake hayakuhusu! Achana na upuuzi wa kudhani eti kwakua mpo katika umchumba basi chake ni chako! Huo ni upuuuzi ambao utakufanya kuacha kupambana na maisha yako ukisubiria ndoa ambayo inaweza isitokee.

Unachotakiwa kujifunza hapa nikuwa kuna mtu yuko na wewe kwasababu unamawazo mazuri unamsaidia kufanya mambo yake, yuko na wewe kwakuwa yuko katika kipindi cha mpito wakati akitafuta mke wa kuoa, yuko na wewe kwakua uko katika nafasi nzuri ya kumsaidia mambo yake, yuko na wewe kwasababu bado hajapata mwanamke wa hadhi yake na siku akimpata anakuacha!

Kwakifupi kuna sababu nyingi za mtu kuwa na wewe, hivyo acha kujiahidi ndoa na hata kama yeye atakuahidi hiyo ndoa basi usiwekeze kiuchumi kwake mpaka pale mtakapofunga ndoa ambapo sheria inasema mkizinguana mnagawana. Ukiangalia katika mfano wetu nikuwa jamaa hakumpenda binti, miaka mitano kuwa na mwanaume ambaye anauwezo wa kuoa lakini hakuoi ni ujinga!

Hapa namaanisha kwamba, upo na mwanaume ana kazi nzuri, mshara mzuri na maisha mazuri, mnaambiana mnapendana na kikubwa umri wake wa kuoa umefika halafu hataki kukuoa na wewe unang’ang’ania ukisubiri mungu ashushe miujiza akuoe. Ukiwa na mwanaume wa namna hiyo sisemi umuache lakini kengele iwake kichwani kuwa inawezekana natumiwa hivyo kuacha ujinga wa kuwekeza kiuchumi kwake.

Katika mfano huu huyu binti hakuachwa kwasababu ya kusoma meseji, alichwa kwakuwa jamaa alishajua sasa ni wakati wa kuoa na tayari alishakuwa na mtu wake hivyo alikuwa akitafuta sababu ya kumuacha. Mwanaume anayekupenda hawezi kukuacha kwa sbabu yoyote ile bila ya kujitathimini au kujaribu kusuluhisha.

Hata kama kakufumania atakuacha lakini kwa uchungu na kwa mchakato wa kununiana hata mwezi mmoja. Kikubwa hapa jua tu sio kwa sababu unamfanyia kila kitu kizuri nayeye anakufanyia kila kitu kizuri ukadhani ni mume wako, anakua mume pale anapokuoa basi, hata kama kajitambulisha kwenu, hata kama kashakuvisha pete anaweza kukuacha na usiambulie kitu.

Mapenzi sio pesa lakini hakuna kitu kibaya kama kupotezewa muda na mtu uliyekua ukimpenda, uliyewekeza hisia na muda wako kwake na ghafla anabadilika ukiwa huna hili wala lile. Fanya mambo yako kama wewe, faidi mapenzi yake lakini kamwe usijisahau na kuwekeza muda wako na nguvu zako katika miradi yake katika kumjenga kiuchumi.

Uhusiano pakee ambao unapaswa kuwa nao na mtu ambaye bado hamjaoana ni uhusiano wa kimapenzi na si uhusiano wa kiuchumi. Kwa maana kuwa ingawa mwili wake utakuwa ukikuhusu kama mmefikia huko lakini kamwe pesa zake na miradi yake ya maendeleo haikuhusu kabisa hivyo acha kuwekeza akili yako na nguvu zako huko, fuata maisha yako na wekeza kwako.

Kisa cha binti n mchumba wake

Kufika kileleni ni hali ya Mwanamke ama mwanaume kufika pick ya mwisho wakati wa kuamiania. Hali hii huwa na vaishiria mbalimbali n hutofautiana kati ya MTU mmoja n mwingine. Kwa wanaume wanaweza kuwa na mguno fulani ama kutoa sauti , mwili kukakamaa, ama  kuingiza kwa nguvu zaidi uume ndani .
Kwa upande wa wanawake wanaweza kutoa sauti , ama uke ukabana , ama akatetemeka ,ama akakushikilia kwa nguvu sana , ama akaongeza kasi ya movement ya mwili wake. Hizi n dalili baathi tu kwa wanaume na wanawake.

Sasa kutokufika kileleni kwa mwanamke ni kutokupata hali kama hiyo. Anaweza kukupokea na ukawa naye yaan kujamiiana naye kwa muda lakin asifike kileleni .Hii ni kwa wanawake  wote walio ndan ya ndoa na nje ya ndoa.

Kufika kileleni hakuna uhusiano wowote  muda wa wewe kujamiiana naye. Unaweza kujamiiana ndani ya dk 5 akafika ama ukakaa dk 45 na bado asifike. Sasa kutokumfikisha kileleni kwa mwanamke kuna madhara makubwa sana kuliko watu wanavyofikiria .
Madhara yake huonekana wazi wazi na tena yanaweza kukugusa hata wewe mume ama mpenz wake .
Hebu tupitie kwa kiasi madhara ya kutokumfikisha Mwanamke kileleni

HASIRA ZA KIPUUZI.
Kuna wakati mwanamke anajikuta anakuwa ni mtu wa hasira tu. Jambo Dogo lazima alifanye lionekane kubwa. Aanaweza  kuwa na lugha chafu kwa watoto au watu wengine. Sio kwamba anapenda ila inamtokea.
Anakasirika na kisirani kisichokuwa na msingi kwake yeye na hata kwa wasiomhusu. Kama in ofisin basi atagombana na kila MTU na kama ni Boss basi walioko chini yake wataisoma namba.

Kama atakuwa tu nyumbani utaona watoto wakipigwa pigwa bila sababu ya msingi sana . Jambo dogo analikuza na kama ni kuonya anaonya mno kwa jambo lisilo la ulazima

KUCHUKIA TENDO LA NDOA.
Hili lipo kwa wanawake wengi ndani ya ndoa akishaizoea hali ya mume wake kuwah kumaliza na kuchoka wakati yeye bado hajatosheka hufikia hatua kuchukia.
KAKA mkeo anaweza asikuambie moja kwa moja kuwa hajiskii kufanya mapenz na we lakin matendo yake utajua tu. Kwa mfano enzi za uchanga wa ndoa au mapenzi alikuwa anajituma sana katandan na alikuwa anaonesha kufurahia.
Lakin Siku hizi  mkeo au mpenz wako nalala tu kama gogo, hajishughulishi kwa lolote wala hakusemeshi. Ukimaliza haja zako mkeo anainuka au anageukia upande mwingine. KAKA hapo jua ana kerwa na uchovu wako katika kusakata sebene.
Wengine wanapoteza kabisa hamu ya tendo hilo kiasi kwamba wanajikuta wanatafuta hata dawa ya kuwasaidia wasisimke maan hawasisimki kabisa wanaona ni kero na ndio wanaishia kubakwa tu ndani ya ndoa humo

KUANZA KUWA NA WAPENZ WENGI.
Naomba hapa ieleweke kuwa kuna baadhi ya wanawake wamejikuta wakiwa na wapenz wengi tokana na madhaifu ya wanaume zao.. Wengine hata baada ya kuolewa unakuta bado anaendelea na mpenz wake wa zaman. Sio kwamba anampenda sana ila ni kwa sababu anakata kiu yakee.
Kuna mwingine anaona bora aweze sex na watu hata 2 kwa Siku moja, yaan akitoka kwa JUMA baada ya lisaa anaenda kwa YOHANA kumalizia hamu zake. Hapa pia ifahamike kuwa sio kila mwanamke anae toka nje ya ndoa ukajua hampend mume wake wala usje sema ana fuata pesa. Ila anafuata kitu kinacho mfanya nae afurahie tendo LA ndoa

KUANZA KUJICHUA na KUSAGANA
Mwanamke akianza kukosa hamu ya tendo la ndoa na kulichukia lazima atamchukia mwanaume wake na kuwachukia wanaume wengine. Hapo ndipo huanza kujichua ili kumaliza haja zakee. Wengine ndipo huona bora ashikane shikane na mwanamke mwenzake mpaka hamu iishe. Mbaya ikifikia hatua mwanamke wako kawa msagaj au ana jichua kisa uchovu wako.

KUTOKUFANYA KAZI VIZURI KWA UFANISI
Mwanamke anapokuwa hajafikishwa katika swala zima la tendo la ndoa ama sex huwa inawafanya wanashindwa kufanya kazi vizuri. Kazi zake zinakwenda taratibu sana, ufanisi wake unakuwa mbaya sana, na wakati mwingine hazikamiliki kwa wakati
KAKA mkeo akifikishwa vizuri utaona ayakavyofanya kila kitu kwa wakati na vi akamilila kirahisi sana. Yaan anafanya kila kitu na kinakamilika kwa haraka  na kwa wepesi sana. Jitahidi kumuongezea utendaji wa kazi.

KUWA N MOODS ZA MARA KWA MARA
Mwanamke asipofikishwa huwa na moods amabzo hata hazieleweki. Unaporudi nyumbani unamkuta kanuna tu. Wengine hawaongei. Wengine wanalia ovyo hana sababu anachukia chukia hataki kukuona .
KAKA hapo jua tu dawa n moja pata nafasi naye mfikishe basi alafu uone kama atanuna kama hatakuwa na tabasamu. Ukiona haelweki ujue na wewe hukusomeka acha kumsumbua tengeneza mazingira basi uhakikishe anafika alafu utaniletea tarifa ya amani ya nyumba yako
KUMBUKA: wanawake weng huwa wanakuwa na hamu sana kufanya tendo la ndoa pale anapo karibia kuanza hedhi. Hanapo maliza au akiwa katika hatar za kubeba mimba.
WANAUME
Pesa huna,
Nyumba huna,
Jaman hata kumridhisha mwanamke wako ushindwe???  Ndo maana dada zetu kuna wakati wanaona mapenz kwao ujinga tu coz mtu haoni cha kujivunia kwako.
Jitahidi unapokuwa n mkeo mpezi wako aone uwepo wako.
Kumfikisha sio kutumia nguvu nyingi sana ama kujitutumua sana bali n kujua tu kigusa sehemu maalumu kwa wakati maalumu.

Hii inatokana pia na uwezo wako wa kumsoma mwenzako
Huwa napendekeza sana kama ni mpenzi ama mke wako elezaneni wazi nini kinakupendeza nini hakikupendezi, ni nini unataka, in nini hutaki wapi paguswe, na wapi pasiguswe kupitia hilo utarahisika kabisa kwa wote kufurahia tendo hili.
Lakin pia WANAWAKE MUJUE TU KUWA
Ili huyu baba aweze kukutendea vyema mpunguzie maudhi madogo madogo yasiyo ya msingi .

Lakini pia utayari wako MWANAMKE utamsaidia sana Kakangu kukamilisha hili kwa haraka na kilele cha mlima utakiona haraka sana .

KUMBUKA UFANISI wa mwanaume katika kazi unatokana n UFANISI wake wa kupata huduma hii vyema kwa ufasaha kabisa ....

MADHARA YA MWANAMKE KUTOFIKISHWA KILELENI

Communication in relationship is like oxygen. If you want you're relationship to grow make sure you communicate otherwise you're relationship is at risk.....

Communication in relationship

USIKUBALI
Habari ndugu msomaji WA makala zangu ni matumaini Yangu makubwa kuwa uko Salama,
Leo acha nizungumzie kitu hikii.
USIKUBALI
 hahahaaa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kamsemo haka kananifurahisha sana.unajua nikweli maisha ni magumu sana,tena yanachangamoto Nyingi sana zingine zinaumiza sana lakini kukata tamaa USIKUBALI.

Nikweli unampenda sana baba yako au mama yako au unampenda sana mke wako au mume wako lakini ukiona anataka kukuvurugia ndoto zako na malengo yako USIKUBALI. Usiwatenge ila tengeneza namna ya kuwafanya waelewe zile n ndoto zako  na zinatakiwa tu kuheshimiwa na kupewa nafasi ili zitimie.

Ukiona rafiki yako yeye kazi kukushauri kila siku kuhusu starehe,wanaume au wanawake kwa sana huyo hakutakii mema USIKUBALI.jiondoe kabisa kwa RAFIKI asiye n faida kwako wanini sasa. 

Ni bora kwenda peke yako kwa uangalifu sana ukafika baada ya muda mrefu kidg kuliko kwenda na rafiki atakayekupoteza njia na ukapotea kabisa n usijue namna ya kurudi tena ulikotokea wala unakopaswa kufika USIKUBALI.

Vijana tunakamsemo ketu kakujitia ujasiri wa kipumbafu eti tumia pesa ikuzoee,nikweli ukitumia pesa inakuzoea lakini hiyo pesa uitumie kuhudhuria semina,kununua vitabu vya mafanikio au mawazo ya biashara ukiona rafiki yako anakwambia tumia pesa ikuzoee halafu anakwambia ukatumie bar rafiki haitakuzoea bali itakukimbia KATAA USIKUBALI.

Ukiona umeanzisha biashara au huduma halafu anakuja mtu anakwambia hutaweza ,utafeli hamaanishi wewe ila yeye maana hayo ni mawazo yake MKATALIE USIKUBALI.


MAISHA NI WEWE,MABADILIKO NI WEWE MWENYE MAAMUZI NI WEWE,UKIKATAKAA NA HAYA NILIOKWAMBIA USIKUBALIπŸ˜€πŸ˜€

Usikubali

*LEO SOMA HII KWA MAKINI SANA SANA .
hatakama uliahaisoma mahali pengine leo isome tena kwa utulovu algu fanya tathimini
Kwa nn sifanikiwi au hufanikiwi
Una mizigo mingi isiyo ya lazima wala faida ambayo umeibeba:
1.Umejipa jukumu la kuwa "mpelelezi" wa maisha ya wengine na umesahau maisha yako
2.Umebeba vinyongo na visasi moyoni vinavyokufanya uwafikirie waliokuumiza zaidi kuliko kufikiria furaha na maendeleo yako
3. Una marafiki wengi ambao ni kama kupe, wapo kukutumia tu na hawachangii lolote katika maendeleo zaidi ya  kujifanya ndio watu wako karibu lakini kumbe wapo kwa maslahi yao!
4.Umeweka mbele zaidi "watu watanichukuliaje" kuliko kuangalia maisha yako.Watu ndio wanakuchagulia aina ya maisha unayoishi na unajilazimisha kuishi kama wao hata kama huna uwezo huo.
5.Unaongea zaidi ya kasuku lakini vitendo hakuna.Unatamani mafanikio tu moyoni lakini huna mipango ya kuyafikia.Maisha ni mipango.
6.Maisha yako yote umeyaweka kwenye mitandao ya kijamii.Huna siri hata moja!Hivyo unalazimika kuishi aina ya maisha ambayo yataendelea kufanana na yale uliyoyaweka kwenye mitandao ya jamii kwa sababu ukibadilika tu watasema "umefulia"
7.Kila aliyefanikiwa ni rafiki yako au utasema ni mtu wako wa karibu na unaishia kuwasifia tu na kupiga nao picha lakini hujifunzi kutokana na mafanikio yao na wala hutumii fursa hiyo ya kujuana nao kujifunza mambo mapya.
8.Upo sahihi kila siku(you are always right). Huambiliki, hushauriki na kila wazo atakalotoa mwenzako basi si zuri ila la kwako ndio sahihi na utataka litekelezwe hilo hilo. Mwisho wa siku kila mtu anakukimbia hakuna wa kukuambia "hapa umekosea" kwa sababu ya ujuaji wako.
9.Hujifunzi maarifa mapya.Mara ya mwisho kusoma kitabu ilikuwa ni "Ngoswe, penzi kitovu cha uzembe" Tena ni kwa sababu ilikuwa ni kwa ajili ya kujibia mtihani. Hujifunzi "life skills" wala ujuzi mwingine.
10.Unazurura mno mitandaoni bila faida. Kwako wewe intaneti ni kwa ajili ya kuchati tu na kufuatilia habari za mjini ambazo tangu umeanza kuzifuatilia hujawahi kuingiza hata shilingi moja, zaidi unateketeza tu hela yako ya vocha.
ISHUSHE hiyo mizigo kama kweli unahitaji kusonga mbele! 😭😭😭
NI UJUMBE TUUUU
Tembelea www.monicamoshiro.com ujifunze zaidi 

Kwa nini sifanikiwi

MBINU TANO ZA KUONGEZA MAUZO YAKO KATIKA BIASHARA.
Leo tutaangalia eneo muhimu sana la kuhakikisha mzunguko wa fedha kwenye biashara yako unakuwa mzuri. Eneo hili ni mauzo. Mauzo ndio yanaleta fedha kwenye biashara yako na hivyo kama ukiongeza mauzo maana yake unaongeza fedha zinazoingia. Japokuwa hili halimaanishi kwamba ukiongeza mauzo umeongeza faida, la. Tutaangalia kwenye makala zijazo jinsi ya kuhakikisha unapata faida ya kukutosha. Leo tuangalie kwanza kuhusu mauzo ya biashara yako na jinsi ya kuyaongeza.
Kabla hatujaona mbinu tano ambazo unaweza kuzitumia kuongeza mauzo kwenye biashara yako naomba nijibu swali muhimu sana ambalo unaweza kuwa unajiuliza, je inawezekana mauzo ya biashara yangu kuongezeka? Jibu ni ndio, haijalishi biashara yako ipo kwenye hatua gani, bado una nafasi ya kuongeza mauzo zaidi ya unayofanya sasa. Kikubwa ni kujua mbinu sahihi za kutumia ili uweze kuongeza mauzo yako.
Kwa kuwa tuko sawa sasa ya kwamba mauzo ya biashara yako yanaweza kuongezeka, sasa unayaongezaje? Hapa ndio zinakuja mbinu tano muhimu unazoweza kutumia kuongeza mauzo yako.

MBINU YA 1; Uza bidhaa zinazoendana kwa pamoja.
Mteja anapokuja kununua bidhaa kwako, tayari amejipanga atanunua bidhaa au huduma fulani. Unaweza kumuuzia bidhaa hiyo na akaondoka, unakuwa umepata mauzo ya kile alichotaka na mambo yanaishia hapo. Ila ukiwa mfanyabiashara mjanja unaweza kumuuzia ile bidhaa anayotaka na pia ukamjulisha kwamba kuna bidhaa nyingine ambayo inaweza kutumika kama hiyo. Au kama zikitumika pamoja basi zitaboresha maisha yake kwa kiasi kikubwa.
Kwa mfano kama mtu amenunua nguo muuzie na viatu, na begi la nguo. Kama mtu amenunua kompyuta, mwambie kuna vitu muhimu anahitaji kununua ambavyo vitafanya matumizi ya kompyuta yake kuwa mazuri. Kwa mfano kuweza kuhifadhi data zake sehemu tofauti ili zisipotee kompyuta inapopotea. Kama mtu akinunua kitabu kimoja mwoneshe na vitabu vingine ambavyo vitampatia maarifa zaidi.
Kwenye biashara yoyote unayofanya, kuna bidhaa nyingi unazoweza kuuza kwa pamoja. Fanyia kazi hili.

MBINU YA 2; Uza bidhaa yenye uhitaji mkubwa.
Ni rahisi mtu kununua tiba kuliko kununua kinga. Ndivyo binadamu tulivyo, kama hakuna tatizo kubwa linalotusumbua basi hatuhangaiki kutafuta suluhisho.
Ni kazi yako kama mfanyabiashara kuangalia biashara yako vizuri na kuangalia matatizo ya watu, ni matatizo gani ambayo yanawaumiza na wanatafuta sana suluhisho. Kisha wapatie suluhisho la matatizo yao kupitia biashara yako.
Kwa mbinu hii utapata wateja wengi ambao wana matatizo na wanatafuta suluhisho la matatizo yao.

MBINU YA 3; Toa punguzo na weka muda wa kuisha kwa punguzo hilo.
Tengeneza aina yoyote ya ofa kwenye biashara yako ila weka muda maalumu ambapo ofa hii itakuwepo. Sio lazima ofa yenyewe iwe kubwa na ya kuathiri biashara yako. Kikubwa ni kutengeneza mazingira ya utofauti kwenye biashara yako ambayo yatamvutia mteja kununua zaidi.
Na unapoweka tarehe ya mwisho wa ofa yako na ukawa unawakumbusha wateja mara kwa mara kwamba ofa inakwisha watasukumwa kufanya maamuzi haraka kabla nafasi hiyo haijaisha.

MBINU YA 4; Weka bei zako vizuri.
Bei zako inaweza kuwa sababu ya watu kununua au ikawa kikwazo cha watu kununua. Sio mara zote ukiweka bei ndogo ndio unapata wateja wengi, kuna wakati ukiweka bei kubwa ndio unapata wateja bora zaidi.
Kwa kuwa hili la bei linahitaji mbinu zake pia, tutalijadili kwa undani kwenye makala inayofuata.

MBINU YA 5; Boresha huduma unazotoa kwa wateja wako.
Hakuna kitu ambacho kila mtu anapenda kama kupata huduma bora, kama kuona anajaliwa na kama kuona kwamba yeye ni muhimu. Ukijenga biashara yako kwenye misingi hii ya kumjali na kumpatia huduma nzuri mteja wako, mteja ataridhika na hataweza kukaa kimya. Atawaambia wengi zaidi na hivyo utakuwa na wateja wengi na mauzo yako kuongezeka.
Wateja ulionao sasa ni sehemu nzuri sana ya kukuza biashara yako kwa sababu ni wao ambao wataisema biashara yako vizuri. Na pia wanaweza kuwa sehemu ya kuiua biashara yako kama watapata huduma mbovu na kuanza kuisema biashara yako vibaya.
Fanyia kazi mbinu hizi tano na utaona mabadiliko makubwa kwenye mauzo yako.
Tembelea www.monicamoshiro.com usome zaidi.
Picha hiyo n mfano tu wa baathi y biashara unayoweza fanya n ukatumia mbinu hizo

MBINU TANO ZA KUONGEZA MAUZO YAKO KATIKA BIASHARA

MAISHA NI MWANDISHI, SIO KALAMU
Zamani wakati tupo shule ya msingi tulikua na utamaduni wa kushindana eti nani ana mwandiko mzuri. Yaani, zoezi hilo lilionekana la maana kuliko kusoma. Kuna baadhi yetu tuliobahatika kuwa na miandiko isiyopenda tukawa tunahangaika kubadilisha kalamu ili tuandike vizuri. Yaani, tunaamini ukiwa na kalamu fulani basi utakua na mwandiko mzuri.

Sasa cha kujiuliza, mbona fulani yeye hasumbuki na kalamu na mwandiko wake ni mzuri tu. Yaani yeye ukimpa Bic, Cello au nyingine yoyote, ataandika vizuri tu
Maisha ni kama muandiko. Unajikuta unajishughulisha na kulaumu mazingira yanayokuzunguka kama sababu za kushindwa au kufanikiwa. 

Yaani unajisemesha
 "mie ningesoma mie, nisingekua hapa"
mie ningekua mtoto wa bakhresa, ningeisha jenga ghorofa
ningezaliwa ulaya mie, nisingekua hivi
ningekua na mtaji mkubwa, ningeishatoka
Yaani, hufikirii kama WEWE ni tatizo. Unaamini kabisa mazingira uliyopo ndio chanzo cha kushindwa kwako. Unaiambia akili yako kila siku kuwa tatizo ni mazingira na sio WEWE.
Usichojua (au usichotaka kuamini) ni kwamba,
kuna watu wamesoma na wana mafanikio kidogo
Kuna watu wamezaliwa Ulaya na hata hawasomeki.
kuna watu wamezaliwa na wazazi matajiri na hata hawana lolote la kujivunia
kuna watu wamekua na mitaji mikubwa na hawajafika popote.

Maisha haya yanajengwa na imani uliyo nayo. Yanaongozwa na kile kilichopo katika kichwa chako.   maisha unayoishi leo ni matokeo ya mawazo yako ya jana. Sasa maisha yako ya kesho ni matokeo ya mawazo yako ya leo.
Unajiambia nini mwenyewe?
Unaamini kipi kutoka katika kile unachoambiwa na wenzio?
Unaruhusu mawazo gani yakutawale? Hasi au chanya?

Haya yote yanamtengeneza mtu uliyepo sasa. Kile unachojiambia mara kwa mara hata kama sio kweli ndicho akili yako inakitengeneza na kuruhusu utende kama imani yako ilivojijenga.

Ukijiambia huwezi hesabu. Yaani wewe kila mara unajisemesha tu "mie hesabu siwezi" basi akili yako itaamini na hivyo utatenda kama akili yako inavyokutuma. Utajikuta husomi vitabu vya hesabu...kwa kuwa ukisoma utafaulu na hiyo ni kinyume na imani yako.

Utajikuta huendi kwenye discussions za hesabu kwa kua ukienda, utafaulu na hiyo ni kinyume na imani yako.

Vivyo hivyo katika biashara na kazi. Ukijiambia mara kwa mara kuwa "mimi hii kazi siwezi" "mie biashara siwezi kabisa hii", hicho ndicho kitakachotokea.
Napoleon Hill anasema "whatever the mind of man can conceive and believe, it can achieve.." yaani, chochote kile ambacho akili ya binadamu inajazwa kwacho na inaamini basi itafanikiwa kukipata.
Jaza akili yako na mawazo ya kukujenga.
Soma, sikiliza na angalia mambo yanayokupa nguvu na sio ya kukutisha na kukukatisha tamaa.
wapotezee marafiki vimeo ambao kila kukicha stori zao ni jinsi ilivyo ngumu kufanikiwa katika jambo fulani iwe  , kazi, biashara au mahusiano.

Mwandiko wako unaweza kuuweka vizuri pasipo kutegemea na ni kalamu gani unatumia katika kuandika.
Maisha ni mwandishi na sio kalamu
Endelea ku ungana nami na ku like page yangu kwa mafunzo zaidi . pia unaweza tembelea blog yangu ya www.monicamoshiro.com

MAISHA NI MWANDISHI, SIO KALAMU

You're Special To Me In Every Way. Thank You For Being Who You

You are special

When I think of how we met and the way we instantly connected, it makes me smile. I feel so lucky to have you as part of my life now and always in my heart.

 You will never really know how special you are to me. You give me strength on days when I am feeling weak. You brighten my day with words of encouragement. You always know exactly what to say to make me feel better. But most of all, you love me in a way I have never been loved before--honestly and openly. 

You love me for who I am now, not what I could be, and for that I can never say, "thank you" enough. But I can promise to love you with the same honesty and openness you have always given me. I look forward to our dreams and our beginnings.

You are so special Darling

I found you when I wasn't even looking. You are the special someone meant just for me. I hope to grow old with you and for the rest of my life be comforted by your presence. I hope to celebrate good times together and support each other through the bad times. Marriage is a journey that will help us to continue growing as humans and as two people very much in love.

We will learn things about each other every day. We will have some bumps in the road but we promised to work things through and talk things out. You are that special someone for me. I know this as well as I know there is a God in heaven.

I promise you that you will be that special someone for me forever.

You are special

Communication problems often lead to relationship issues, which is no great surprise. If you can't communicate with your partner, how can you cultivate a sense of closeness and love?


Still, basic communication challenges often lead to broken relationships. It makes you wonder what everyone's doing wrong. We're going to cover five common communication omissions that threaten relationships.

1. Not asking unique, personal questions

"How was your day?"

There's nothing implicitly wrong with the above question. But, if repeated frequently, it lacks sincerity and shows a lack of effort. Many couples go through the motions of social platitudes because they don't know what else to say, but this kind of filler talk can be surprisingly devastating. Why?

When you say something canned, it implies you're doing it out of social duty, like nodding your head when you accidentally lock eyes with someone. "Oh, I guess I'm supposed to ask how your day was now.” This is not the message you want to send to someone you love.

When you say something unique, however, it's not only more engaging, it communicates: "I care about you." Try asking things like, "Did you learn anything new today?" or, "What made you smile today?"

The latter question is especially poignant because it shows that you're taking an active interest in their emotional well-being, and they'll get to relive the happiest part of their day. It's a better way to get a real conversation started, too.

2. Not stating the obvious

"I love you. Your beauty is what makes the birds sing (obviously)."

Sometimes, we need to hear the obvious. It's not enough to tell someone you love them once, because later they'll wonder, "But how about now?" The same goes for compliments. When our needs aren't being met, we'll look for it in other places, which can be a slippery slope.

3. Not communicating a problem or harsh truth

Strong relationships are built on the foundation of being able to talk about and talk through anything. The more difficult, awkward conversations you have, the more you'll trust each other.

4. Not communicating at all (or being passive aggressive)

Passive aggressiveness might be the most effective way to end a relationship. The very first rule of communication — the one that overrides any communication tip you hear — is that you have to DO IT. Not speaking to each other, only speaking defensively, and hiding behind thoughtless platitudes are all ways of shutting down communication channels. And when communication stops, whether literally or practically, that relationship will begin to die. Think about that the next time you're about to teach someone a lesson with silence.

Communication is the true life source of relationships. Keep it going and do it effectively, and you will overcome the obstacles all couples face, and after each victory, you'll be even closer. If you find that you never fight or argue, that's great, but be careful, because it may be a sign that you're not fully communicating with each other in order to "keep the peace."

5. Not listening and empathizing

When you hear the word "communication," do you imagine someone speaking or silently listening? Most of us would imagine speaking, but the key to communication is in understanding the other person. When both people seek to understand the other person, communication just works better. When both people are focused on communicating their own thoughts, who is there to listen?

Empathizing is another key component of relational communication. Empathy is understanding and joining in your partner's emotional state. And think about how important that is: if you don't show empathy, they will feel alone in their hardships. Many people, myself included, often jump into advice mode too quickly. But when people share their problems, they often don't need advice; they need emotional support.

Make the choice right now to commit to healthy communication practices in your relationship, and work together to improve as a team.

The first step: Share this with your significant other, and tell them which area(s) you personally intend to improve upon for them.Communication Mistakes That Kill Relationships

She doesn't need expensive gifts.
She doesn't need expensive dinners.
I mean sure all of those things would be nice, but all she really needs is you.
She needs your listening ear when she is ready to vent.
She needs your shoulder to cry on when life gets hard on her.
She needs your words of encouragement when she is getting ready to pursue her dreams.
She needs to be able to feel safe around you, and know that you have her best interest when it comes to her heart.
And if it's taking her a while to let you in, she isn't trying to punish you.
She just doesn't want to repeat making the same mistakes she has made in the past by giving a man her all, just to find out that he couldn't match her effort.
Love her genuinely.
Love her patiently.
Love her passionately.
And last but not least, love her consistently and in return, she will love you like you have never been loved before.

She only need this