Social Items

PropellerAds
USIKUBALI
Habari ndugu msomaji WA makala zangu ni matumaini Yangu makubwa kuwa uko Salama,
Leo acha nizungumzie kitu hikii.
USIKUBALI
 hahahaaa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kamsemo haka kananifurahisha sana.unajua nikweli maisha ni magumu sana,tena yanachangamoto Nyingi sana zingine zinaumiza sana lakini kukata tamaa USIKUBALI.

Nikweli unampenda sana baba yako au mama yako au unampenda sana mke wako au mume wako lakini ukiona anataka kukuvurugia ndoto zako na malengo yako USIKUBALI. Usiwatenge ila tengeneza namna ya kuwafanya waelewe zile n ndoto zako  na zinatakiwa tu kuheshimiwa na kupewa nafasi ili zitimie.

Ukiona rafiki yako yeye kazi kukushauri kila siku kuhusu starehe,wanaume au wanawake kwa sana huyo hakutakii mema USIKUBALI.jiondoe kabisa kwa RAFIKI asiye n faida kwako wanini sasa. 

Ni bora kwenda peke yako kwa uangalifu sana ukafika baada ya muda mrefu kidg kuliko kwenda na rafiki atakayekupoteza njia na ukapotea kabisa n usijue namna ya kurudi tena ulikotokea wala unakopaswa kufika USIKUBALI.

Vijana tunakamsemo ketu kakujitia ujasiri wa kipumbafu eti tumia pesa ikuzoee,nikweli ukitumia pesa inakuzoea lakini hiyo pesa uitumie kuhudhuria semina,kununua vitabu vya mafanikio au mawazo ya biashara ukiona rafiki yako anakwambia tumia pesa ikuzoee halafu anakwambia ukatumie bar rafiki haitakuzoea bali itakukimbia KATAA USIKUBALI.

Ukiona umeanzisha biashara au huduma halafu anakuja mtu anakwambia hutaweza ,utafeli hamaanishi wewe ila yeye maana hayo ni mawazo yake MKATALIE USIKUBALI.

MAISHA NI WEWE,MABADILIKO NI WEWE MWENYE MAAMUZI NI WEWE,UKIKATAKAA NA HAYA NILIOKWAMBIA USIKUBALIπŸ˜€πŸ˜€

Usikubali

1 comment: