Social Items

PropellerAds
AKSANTE NA SAMAHANI. 
Haya ni maneno mawili ya muhimu sana katika mahusiano ya kimapenzi uwe umeolewa au bado, kama uko na huyo mpenzi wako amekuoa au bado au anatarajia kukuoa huna jinsi ya kukwepa maneno haya.

Samahani haikupunguziii chochote pale unapokuwa umekosea ua kwa wakati mwingine mwenzako ni mgumu kushuka na kusema samahani sema kwa ajili yake ili kumfanya ajue kuwa umeona kosa na hivyo hakuna haja ya kulumbana zaidi. 

Ssmahani itakupunguzia shari na kukuongeze upendo kati yenu wawili. Lakini pia samahani inakufanya uonekane kwamba UNAJALI  na unakiri kuwa lile haukufanya kwa makusudi. 

Kwa upande wa aksante, shukuru kwa lolote upatalo kutoka kwa mwenzako hata kama ulikuwa unategemea kubwa akakupa dogo basi shukuru hata kwa hilo maan ndio uwezo wake. 

Shukrani zako zitamfanya afanye kubwa zaidi. Mshukuru hata MUNGU  kwa wewe kuwa na huyo maan wengine wanatamani kumpata lakini hawampati.

Shukrani zitoke pande zote mbili. kwa hakika neno AKSANTE na SAMAHANI lisipungue kinywani mwako. Utayafurahia mahusiano yako na utakuwa wa thamani mbele yake kila iitwapo leo. Kwa leo ni hayo tu twende tuboreshe mahusianao yetu. Karibu sana sana tuendelee kujenga mahusiano yetu vizuri

Samahani na asante

No comments