Social Items

PropellerAdsUMUHIMU WA MAWASILIANO KTK NDOA/ MAHUSIANO
Mawasiliano katika Ndoa ni kama barabara ya njia mbili inayoruhusu magari kuingia na kutoka; yaani wanandoa wawili ambao mmoja akiongea mwingine anasikiliza na mwisho wanapata jibu la kudumu la tatizo lililokuwepo.
Mawasiliano mabovu husababisha kutokuelewana ktk ndoa na mahusiano ya aina yoyote.

Ni kitu cha kawaida kwa sasa kuona mabishano ambayo yanaanza asubuhi jua linaochomoza na kuendelea hadi jua linapozama jioni bila ufumbuzi.


Mabishano kama hayo yasiyo na ufumbuzi ni kama Bomu linalosubiri muda ili lilipuke.


Baadhi ya wanandoa hudhani kwamba kuacha tatizo bila kulizungumzia ni kutatua, hiyo si kweli na hali kama hiyo haileti afya ya ndoa bali ugonjwa na matokeo yake ndoto ambazo mtu alikuwa nayo kuhusu ndoa huyeyuka kama barafu lililokutana na jua la mchana.

Kanuni muhimu katika kuhakikisha ndoa inakuwa imara ni pamoja na kila muhusika kujitoa na kuelekeza jitihada za kuhakikisha kila siku anawekeza ili ndoa kustawi.

jambo la msingi ni kuwekeza katika mawasiliano bora

Mawasilinao katika ndoa au mahusiano yoyote ni kama gundi inayounganisha ndoa.


Na ikitokea hiyo gundi ikaacha kufanya kazi basi mahusiano au ndoa huanza kukatika vipande vipande, na ndoa bila kuwasiliano lazima itakufa.

Katika jamii nyingi za kiafrika watu hawapo wazi sana kujieleza kile anahitaji kutoka kwa mwenzake

Sema kile unataka bila kuzunguka.

Kama hujaridhika na style za sex za mpenzi wako sema ili ajue unataka kitu kipya, kama hujaridhika na chakula anachopika sema ili msaidiane na kuona inakuwaje, watoto, huduma kanisani maana wengine ni kanisani tu na mambo ya nyumba hana mpango, ndugu, kama hujaridhika na jinsi anavyotumia pesa sema ili ajue.

Kubaki kimya na kudhani atajua mwenyewe hata kama utahuzunika hatakuelewa eleza wazi ili kujenga ndoa yako.

hakuna njia nyingine zaidi ya ninyi wawili kuelewana na kukaa pamoja kupata jibu.

Kama unahitaji kitu Fulani kutoka kwa mwenzi wako sema nahitaji kitu Fulani, na kama kuna kitu Fulani anafanya wewe unaona kinakuletea shida mwambie kwa upole na moyo wa upendo na pia mwambie kwa nini unaona kinakuumiza kubaki kimya ni kama bomu ambalo linasubili muda na muda ukifika litalipuka.


Kama unahitaji muda wa kujibakia mwenyewe tu kufikiria mambo fulani fulani sema ili mwenzako ajue ila si kuwa mkali na kufukuza watu bila kusema kulikoni;

kuna wakati binadamu huhitaji awe yeye mwenyewe na Mungu wake, muhimu mawasiliano.


Huishi na malaika kwamba atajua kila kitu ambacho wewe unapenda au hupendi

Ndoa ni kujengana kila iitwapo leo


Na kama mwenzi wako anakasirika kwa kile umemwambia inawezekana hajakulewa so unahitaji kurudia kumwelekeza vizuri hadi aelewe kwa upendo na hekima.

Jinsi tunavyowasiliana tunatiofautiana kijinsia na kimalezi na ni muhimu sana kuwa makini kusoma lugha ya mawasiliano ya mpenzi wako.


Wanaume mawasiliano yetu ni ya moja kwa moja na wanawake mawasilino yao yanabebwa na hisia na wao ndo wanaoumizwa sana

Pia si busara kuongea na mpenzi wako kwa hasira kwani hasira wakati mwingine husababisha

Kulia machozi,

Kupiga au kupigana,

Kutupa vitu hata kama ni vya thamani kama simu za mikononi, vyombo nk,

na wengine hubaki mabubu na kushindwa kuongea.


Ndoa zote imara zina kitu kimoja kinachofanana nacho ni

Mawasiliano mazuri.

Na bila kupinga ndoa zenye matatizo nyingi matatizo huanzia kwenye

Mawasiliano mabaya.

Mawasiliano ni pamoja na

Kuwepo wakati wa maongezi,

Kumsikiliza mwenzi wako anapoongea,

na kusema kila unachohitaji kwa mwenzako.


Msingi Hasa wa Mawasiliano Katika Mahusiano Yoyote ni Katika Mambo Makuu Matatu

(a) Uwepo katika maongezi kwa mpenzi wako, upatikanaji wako pale mwenzi wako anataka kuongea kitu.

Wote mnahitajika kuwepo katika maongezi tena kwa kuhusika vizuri kwa lile linalozungumzwa.

Pia wewe unayetaka kuongea hakikisha mwenzi wako yupo tayari kukusikiliza siyo kulazimisha akusikilize wakati unajua anafanya kitu kingine muhimu tafuta muda muafaka.


(b) Msikilize kwa makini mwenzi wako na kama huna muda wa kusikiliza mwambie ni wakati gani utakuwa tayari na utasikiliza kwa makini kuliko kusikiliza huku unafanya kitu kingine.


(c) Husika katika mazungumzo au maongezi, hakikisha mwenzi wako anapata hisia kwamba unasikiliza na unajali pia unachangia kile anaongea na ongea kwa upendo, ukaribu kwani anayeongea ni mtu muhimu sana kwako hapa duniani.

Pia uwe wazi kueleza hisia zako na mawazo yako halisi kuhusiana na lile mnaongea


Mambo ya kufanya na kutokufanya wakati mnawasiliana
Lenga katika kutatua tatizo siyo kushinda mjadala au mabishano

Hakikisha unamsikiliza mwenzi wako vizuri na unaelewa ana maanisha kitu gani

kwani wanaume wengi hata kabla mke hajamaliza kuongea tayari tunadakia “nilikuwa najua unataka kusema hivyo”

Jieleze vizuri kama hujaelewa kuliko kujidai umeelewa then ukafanye sivyo

Heshimu mawazo ya mwenzako hata kama huwezi kupata jibu sasa kwa tatizo alilokwambia; kuliko kutoa majibu ambayo huishia kumkatisha tamaa mwenzako

Tumia muda mwingi kufanya maongezi kujadilia mambo unayodhani ni ya msingi kuliko kutumia muda mwingi kuongea kile ambacho si muhimu na kuacha kile ambacho ni muhimu

Kuwa mwepesi kusamehe na mwepesi kusahau pia, hakuna nafasi ya kitu kinaitwa "Nimekusamehe ila sitasahau."

Uwe mwangalifu lugha yako au maneno yako na body language kwani unaweza kuwa unaongea kitu kingine na mwonekano wako ni kitu kingine;

Ongea kile unamaanisha; wengi hupenda kulalamika badala ya kuongea kile anataka.

Usiende kulala kabla ya kutatua tatizo, Usilale na gubu au donge moyoni hakikisha umeliyeyusha kabla hujalala.

Usiongee na mpenzi wako kijeuri au kihuni au bila heshimu au kibabe hasa wanaume.

Usimlaumu mwenzi wako mbele za watu.

Unapotoa maamuzi yoyote usitoe kwa hasira

Usianze mjadala kwa kukumbushia mambo yaliyopita zamani hasa wanawake


Usidhani mwenzi wako anakuumiza kwa sababu hakubaliani na wewe inawezekana yupo sahihi hivyo mpe muda.

Mawasiliano mazuri hujenga mahusiano mazuri

Mawasiliano na mahusianoHAMU UWEZO WA MORINGA*

*Moringa* ndio lishe bora kuliko yoyote katika dunia..
Una virutubisho 92 ,viondoa sumu 46 ,viondoa uvimbe 36 na asidi Amino 18
Mlonge umefanyiwa tafiti na watafiti takribani 400 duniani kote na kugundulika kuwa ni tiba na kinga ya magonjwa takribani 300 yakiwemo magonjwa sugu, Moringa powder tuliyo nayo ina uwezo wa *kupunguza uzito hasa tumbo au kitambi* na kutibu magonjwa sugu, Baadhi ya magonjwa ni:
1.U.T.I sugu
2.kisukari
3.vidonda vya tumbo
4.presha ya kupanda
5.kifua sugu
6.kupandisha CD4 kwa haraka
7.Hormone imbalance
8.matatizo ya nguvu za kiume
9.matatizi ya ngozi..uondoa chunusi n.k
10.gauti
11.ukinga saratani na kuzuia usambaaji wa seli za saratani
12.matatizo ya macho
13.utibu aleji
14.usafishi ini na figo
15.uondoa kitambi na unene ..ambao vimesababishwa na mafuta yasiyo na tija
16.utibu magonjwa ya mifupa
17.inasaidia kushusha lehemu (cholestro)
18.utibu oma
19.matatizo ya uzazi kwa wanawake na wanaume
20.usafisha damu
21.kisonono
22.tatizo la kukosa usingizi
23.matatizo ya uvimbe uvimbe ..fibroids  n.k
24.utuliza wasiwasi
25.uimarisha finzi na meno
26.utibu maumivu wakati wa hedhi na tendo la ndoa
27.uleta hamu ya tendo la ndoa kwa wenye tatizo la kukosa ute na kushindwa kufika kileleni
wasiliana nasi Kwa namba +255652331126
ili kuipata.
*Zinapatika

MORINGA

MWANUME JIANDAE KUKUTANA NA TABIA HIZI KWA MWANAMKE UTAKAYE 
MPENDA 

Mwanaume anapoiingia katika ulimwengu wa mahusiano ya kimapenzi ni lazima mwanaume huyo atakutana na wanawake wenye tabia tofauti tofauti, ni miongoni mwa  tabia za wanawake walio wengi katika mahusianao ni pamoaja na:
Mwanamke asie na maono
Aina hii ya mwanamke inafanana karibu na ile ya asiyejielewa lakini hii ni kuwa mwanamke ambaye hana maoni kujihusu yeye mwenyewe. Ukimuliza kitu chochote anakwambia kuwa hajui ama hana mtazamo wowote kuhusu jambo lolote. Mwanamke huyu anaweza kuonekana mwanamke mzuri mara ya kwanza kwa sababu hawezi kukupinga na chochote unachosema lakini pindi muda unaposongea utaona kuwa ataanza kuwa mzigo kwako. Aina hii ya mwanake iogope sana kwa sababu anaweza kuwa anafanya hivyo makusudi huku akiwa ameweka mtego ama anamalengo yake kibinafsi kutoka kwako. Mwanamke asiyetoa maoni kuhusu chochote unachosema umuogope sana.
Mtumiaji
Kuna aina ya wanawake ambao wanakuona wewe kama mwanamume mzuri ili wakutumie kama chambo kuwafanikisha kimaisha. Unaweza kuwa mwanamume ambaye unauunganisha watu wengi, ama unaweza kuwa mwanamume ambaye unapendwa na wengi. Mwanamke aina hii ataona kuwa akiwa karibu na wewe itakuwa nafasi rahisi kwake kupata connection na marafiki zako kwa urahisi. Hii inamaana kuwa pindi mwanamke aina hii akifanikiwa kupata kile ambacho amekuwa akitafuta, bila kupoteza wakati atakutema na kukuacha kwenye giza.
Mwenye maoni ya ukashifu wakati wote
Kuwa na maoni na kukashifu si jambo baya kwani kukosoa mambo katika mahusiano ni jambo zuri katika maisha. Lakini usizidishe. Aina hii ya wanawake wanaokashifu kupita kiasi ni wale ambao wakisema jambo fulani basi litabakia hilo hilo na hata ufanyeje hawawezi kugeuza. Aina hii ya wanawake watafanya maisha yako kuwa balaa kwani wakisema jambo flani, bila hata kufikiria wenzao.
Mlalamishi
Huyu ni aina ya mwanamke ambaye nyakati zote yeye hulalamikia kuhusu hili na lile. Yaani kwake hakuna jambo zuri ambalo limeshawahi kumfanyikia. Aidha atakuwa akilalamika kuhusu marafiki zake, maisha yake ya kila siku nk. Yaani yeye siku zote hana amani. Aina hii ya mwanamke haifai kabisa kwani ulalamishi wake wa kila siku utakuchosha kwa haraka.
Mwanamke asieomba msamaha
Huyu ni aina ya mwanamke ambaye hawezi kuomba msahama kwa jambo lolote ambalo amefanya hata kama ni la makosa kiasi gani. Anaweza kuomba msahamaha kwa shingo upande ama aamue kunyamaza kimya tu kwa jambo alilofanya la kukwaza ama kuudhi. Kwanza aina hii ya mwanamke niwakumuogopa sana kwani mtu ambaye hakubali makosa yake si mtu mzuri wa kuishi naye hata mara moja.
 Asiyejielewa
Huyu ni mwanamke ambaye haelewi anachotaka maishani. Wakati wote yeye atakuwa anahangaika na uchaguzi wake na hajiamini na chochote ambacho anachagua. Aina hii ya mwanamke achana nayo kwa sababu wewe pia inamaanisha hayuko asilimia mia moja kama aendelee kuwa nawe au laah! Aina hii ya mwanamke mara nyingi huwa na wanaume wengi na nirahisi kwake kukuendea kinyume kimapenzi ( Kukusaliti). Kwahiyo kama wewe unamahusiano na mwanamke aina hii aidha uachane naye fasta ama akuwache wewe wa kwan

MWANUME JIANDAE KUKUTANA NA TABIA HIZI KWA MWANAMKE UTAKAYE MPENDA